Ongea na Shangazi: Wanawake walalamikia mamlaka kupewa nguvu za kiume


-1
-1 points

Katika kuelekea siku wa wanawake duniani, bado wanawake wengi wamekuwa na malalamiko kwa mamlaka za Serikali kutoa nguvu zaidi kwa wanaume tofauti na wanawake.

Kupitia kipindi cha “Ongea na Shangazi” kinachorushwa na Kwanza TV, mashangazi watatu, akiwemo Fatma Karume, Maria Sarungi na Mwanahamisi Singano, wameibua mjadala mkubwa kuhusiana na hili.

Kwa undani wa hili bonyeza  video hapa chini kujua kilichojili.


Like it? Share with your friends!

-1
-1 points