Jinsi ‘Airbus’ ya kisasa ilivyopokelewa kwa mbebwe Dar


0

Rais John Pombe Magufuli awaongoza mamia ya viongozi wa Kitaifa na wananchi wa kawaida katika hafla ya mapokezi ya ndege mpya aina ya Aibus. Inaelezwa kuwa ndege hio ni mpya na Tanzania inakuwa nchi ya pekee barani Afrika kupata ndege kama hii. Tazama jinsi mapokezi hayo yalivyokuwa. 

Hatua hii inatajwa kuwa itariimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) katika kukabiliana na ushindani wa soko la ndani na nje ya nchi. 


Like it? Share with your friends!

0