• Ifahamu Ijumaa Kuu

    Ijumaa Kuu ni siku ambayo wa Kristo ulimwenguni kote wanaungana kuadhimisha mateso na Kifo cha bwana wao YESU Kristo msalabani. Aliyeletwa kuukomboa ulimwengu uliyojaa...

 • View Full Post

  Ongea na Shangazi: Wanawake walalamikia mamlaka kupewa nguvu za kiume

  Katika kuelekea siku wa wanawake duniani, bado wanawake wengi wamekuwa na malalamiko kwa mamlaka za Serikali kutoa nguvu zaidi kwa wanaume tofauti na wanawake. Kupitia...

  Katika kuelekea siku wa wanawake duniani, bado wanawake wengi wamekuwa na malalamiko kwa mamlaka za Serikali kutoa nguvu zaidi kwa wanaume tofauti na wanawake. Kupitia kipindi cha “Ongea na Shangazi” kinachorushwa na Kwanza TV, mashangazi watatu, akiwemo Fatma Karume, Maria Sarungi na Mwanahamisi Singano, wameibua mjadala mkubwa kuhusiana na hili. Kwa undani wa hili bonyeza ...
  0
 • Nilikuwa ninaabudu shetani

  Benedict alizaliwa kwenye familia iliyoshika sana dini ya kikristo Anasimulia “nilianza kuingia kwenye dini ya mashetani nilipokuwa na miaka 15. Wazazi wangu ni Wakristo walioshika...